P plasido divi Member Feb 1, 2015 90 21 Jun 5, 2016 #1 Nipo Arusha kwa anaye uza Mashine ya kufulia kwa domestic use anijuliahe
K Kalwe Senior Member Jan 15, 2015 164 44 Jun 6, 2016 #2 plasido divi said: Nipo Arusha kwa anaye uza Mashine ya kufulia kwa domestic use anijuliahe Click to expand... Una offer sh ngapi?
plasido divi said: Nipo Arusha kwa anaye uza Mashine ya kufulia kwa domestic use anijuliahe Click to expand... Una offer sh ngapi?
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Aug 1, 2012 3,636 2,725 Jun 6, 2016 #3 Niliwahi kuuza mashine yangu ya kufulia nilijuta. Ili bidi nipande dau kui buy back... Mambo ya kufikicha nguo nani anataka?
Niliwahi kuuza mashine yangu ya kufulia nilijuta. Ili bidi nipande dau kui buy back... Mambo ya kufikicha nguo nani anataka?