Tunachimba visima kwa bei rahisi kabisa

Nov 10, 2015
45
1
Tunachimba visima bei ni TZS 70,000/= kwa mita moja na hii bei ni kwa wale waliopo Dar es salaam ila kama upo nje ya Dar es salaam tunachimba Laki moja kwa mita moja. Tunafunga Pampu pamoja na kukupa Tanki la Lita 1000 au 2000.

Tupo Dar es salaam
Tuwasiliane kupitia namba 0659839446..
 
Bila shaka yo yote hicho siyo kisima bali ni mchoro wa kisima!
 
:thumbup: Tuanchimba visima kwa shilling elfu sabini tuna funga pampu pamoja na kukupa tanki la lita elfu moja au elfu mbili tuwasiliane kupitia namba 0659839446
 
Tunachimba visima kwa shilling elfu sabini tuna funga pampu pamoja na kukupa tanki la lita elfu moja au elfu mbili tuwasiliane kupitia namba 0659839446
 
Weka picha ya kazi mlioishafanya na picha ya hivyo vitu anavyopewa mteja...
 
Labda umesahau sifuri kadhaa hapo mwisho. Yaani toka milioni nne mpaka tano wanayo chaji kwa sasa mafundi wengi mpaka elfu sabini!? Vipi mnachimba na majembe, na hilo tanki ni la mianzi!?
 
Visima vya urefu gani? Na mbona bei ya tank tu inazidi hiyo gharama yenu? Nyie ni charity organization?
 
Naweza chimba mita ngapi kufikia water level niaishi maeneo ya yombo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom