Wapi nitapata heat press (T-shirt priting)

Wapi nitapata heat press (T-shirt priting)

MAFUNZO

Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
47
Reaction score
29
Naomba kwa wana Jf, msaada wa wapi naweza kununua kifaa hiki na bei yake. " Heat press for tshirt Priting"
 
Jamani hamna cha mambo ya ku pm,tujulishaneni ili sote tujue,plzzzzzzzz
 
Naomba kwa wana Jf, msaada wa wapi naweza kununua kifaa hiki na bei yake. " Heat press for tshirt Priting"

kama una instagram follow us tshirtgarage mabibo hostel..

machine zote za t shirt tunazo.. embroider, screen printing carousel, heat press etc....

heat press nzuri sana kwa mtu anaejifunza t shirt printing maana ni easy kutumia na unapata faida hasa kwenye namba na majina ya jezi za mpira
 
Back
Top Bottom