Wapi nitapata suti kama hizi kwa Dar hapa? Nimezipenda sana

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,465
05b2fe658bbfe57f346e738a5d622845.jpg

Nimecheki mtandaoni watu walipendezewa na suti ndo nikakuta hawa wazee, wakuu
Wapi naweza pata suti kama walizovaa hapo?
 
Mtafute Sharia Ngowi, au nenda Dukani kwake masaki, pembeni ya Reggar bar, jirani na ubalozi wa Angola na karibia kabisa na shule ya Good samaritan
 
Aisee naona mzee Lowassa kapiga suti Kali sana, mkuu hiyo suti ya mzee Lowassa haipatikani hapa nchini labda uagize uingereza
 
Aisee naona mzee Lowassa kapiga suti Kali sana, mkuu hiyo suti ya mzee Lowassa haipatikani hapa nchini labda uagize uingereza
Usinikatishe tamaa basi hivyo mkuu,kuna jamaa kaniagizia masaki
Sitaipata pale?
 
Back
Top Bottom