Natafuta dereva mwanamke

Ayster

Member
Nov 19, 2012
42
8
Habari wadau,

Natafuta dereva kwa ajali ya familia;

1. Jinsia ya kike

2. Awe mkazi wa Dar es Salaam hasa maeneo ya sinza, kijitonyama, Kinondoni, Mwenge.

3. Awe na leseni halali ya kuendesha magari madogo na uzoefu wa kuendesha magari madogo

Tafadhali nitumie meseji humu au jibu tangazo hili
Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom