Msusi Hodari (Dada wa Saloon)

Jahlex

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
512
604
Habari Jf,
Kwa wale wote wenye uhitaji wa msusi na dada wa saloon tuwasiliane kwani yupo msichana(binti) mchapakazi mwenye umri wa miaka 24 anaishi Mabibo_Dar es Salaam.
Ni mwaminifu, na hodari katika kutimiza majukumu yake na mshahara wake kiujumla si chini ya 300,000/ kwa mwezi.
Ana uzoefu usiopungua miaka 6 ktk masuala ya saloon.
Wasiliana nami PM au kwa:0655185973,
Ili nikuunganishe nae.
Aksante!
 
Back
Top Bottom