harakati zetu
Member
- Nov 24, 2013
- 30
- 9
Kiwanja kina ukubwa wa 35 kwa 25, kina nyumba ya matofali ya block(rum 2 kawaida 1 self,jiko na public toilet ndani) iliyoishia kwenye renta, kipo Morogoro(Bigwa Misongeni). Bei ni 14m na sihitaji udalali, kama uko interested nitafute 0718 55 30 03