Mafundi wazuri wa AC

Carina

Senior Member
Jan 4, 2011
193
70
Wanajamvi habarini za leo?
Naulizia mafundi wazuri wa AC maeneo ya Kimara mpaka Mbezi Mwisho. Mwenye ufahamu naomba atupe mawasiliano hapa.
Akhsante nawakilisha
Mdau
 
piga 0655541948 tuzungumze vizuri
 
Wanajamvi habarini za leo?
Naulizia mafundi wazuri wa AC maeneo ya Kimara mpaka Mbezi Mwisho. Mwenye ufahamu naomba atupe mawasiliano hapa.
Akhsante nawakilisha
Mdau
Mpigie huyu jamaa ni mtaalamu wa AC na cold rooms 0713230547
 
Back
Top Bottom