Honda CR-V inauzwa

Honda CR-V inauzwa

Butanyata

Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
51
Reaction score
37
Habari wakuu, nina gari aina ya Honda CR-V ya mwaka 1999 nauza kwa sh 7.5M. Gari ni Automatic na ipo katika hali nzuri, imetembea umbali wa Km 169,000 na ina insurance na toad licence mpaka mwakani. Kwa mwenye kuhitaji anicheki through 0686477879 or sirgerryk@yahoo.com. Natanguliza shukrani ImageUploadedByJamiiForums1442227493.348279.jpg ImageUploadedByJamiiForums1442227525.081369.jpg
 
Hizi gari aisee nazipenda sana mundo wake.Ila sijui kwanini watu wanazichukia baadhi yao.
Kama sikosei ni 4WD hizi?

Halafu Mkuu shusha bei uendane na soko,bei ipo juu,maana kwenye zoom kunamtu anaiuza kwa 5m kama sikosei ya 2001

Maana hapa Dubai pia Show rooms kibao kuzipata tabu,hii inamaana toleo linapotea kama ilivyo baloon bongo fleva
 
Yeah mkuu ni 4WD...Gari hizi ni imara sana..! Kuhusu bei naweza kushuka kidogo ila sio kufikia hiyo 5M.
 
Mkuu tangu udalali uibuke kua ni fani ya watu, basi hilo gari bei yake ni around m5 na kushuka chini sababu watu wananunua magari kwa plate namba,, maana yako ni apj ambayo ni ya zamani sana ingekua b## au c## ingekua afadhali lakini unaweza bahatisha kwa bei hio hio ulioiweka kila kitu kinawezekana..
 
Hizi gari aisee nazipenda sana mundo wake.Ila sijui kwanini watu wanazichukia baadhi yao.
Kama sikosei ni 4WD hizi?

Halafu Mkuu shusha bei uendane na soko,bei ipo juu,maana kwenye zoom kunamtu anaiuza kwa 5m kama sikosei ya 2001

Maana hapa Dubai pia Show rooms kibao kuzipata tabu,hii inamaana toleo linapotea kama ilivyo baloon bongo fleva

Mkuu mbona unachanganya madesa. Mara ashushe bei mara show room hazipatikani, sasa kama hazipatikan show room si ndo bidhaa inakuwa adim bei ipande?? Au mm sikuelewa uchumi vizur
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom