Pata maziwa fresh na mtindi halisi

starson85

Senior Member
Jan 19, 2015
146
14
Maziwa fresh na mtindi yanapatikana hayana maji kabisa ni mazuri sana lita moja ya maziwa fresh ni tsh 2000 na mtindi ni tsh 2500
1. Lita tano ni tsh 12500 kwa maziwa ya mtindi

2.Lita tano ya maziwa fresh tsh. 10000
Tuna fanya delivry kwa mteja atakaye nunua kuanzia lita tano na kuendelea tupo dsm
Piga simu 0656436662
Karibuni


Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Kwa jinsi nisivyoamini wauza maziwa....unatembeza pamoja na ng'ombe au
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom