Tayo zeboss
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 467
- 196
Imetumika miezi kadhaa ila bado ipo ktk ubora wake, kama inavyoonekana kwenye hzo picha hapo. Haina tatizo lolote wala kasoro yoyote na hili kudhibitisa nachosema unaruhusiwa kuikaguwa kadri uwezavyo hata siku nzima! Ni wewe tu na muda wako.
SIFA
-----
internal memory 4GB
Front camera & back camera
Display size inches 4
Android version 4.1.1
SABABU YA KUUZA
-------------------
shemeji yenu anataka kutoka out leo Alf Mzee mzima jua kali hadi mifukoni.
Kama uko serious number ndio hzo 0713943432
SIFA
-----
internal memory 4GB
Front camera & back camera
Display size inches 4
Android version 4.1.1
SABABU YA KUUZA
-------------------
shemeji yenu anataka kutoka out leo Alf Mzee mzima jua kali hadi mifukoni.

Kama uko serious number ndio hzo 0713943432





