Viwanja vinauzwa Mbezi, malipo ni kidogo kidogo

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
11,726
12,003
Rejea kichwa cha habari,kwa yeyote anayeona mbali.
Karibu umiliki ardhi Dar,maeneo ya Mbezi Msumi,
Unaweza fika kwa Kupitia Mbezi mwisho au Kurudia Mlimani City,via Changanyikeni na tena Njia za Tegeta Wazo Hill zapitika.
Ni sehemu tulivu zenye upepo bardii ni kupya kwa wastaarab kusiko na mambo ya kiswazi.
Viwanja unakatiwa kuanzia mita 20 kwa 20,
Down payment tunaangalia na uwezo pia nia na uaminifu.
Karibu sana.
 
Uaminfu hapo mnaupimaje mkuu?
Na hiko kiwanja kwa mfano 20x20 kinauzwa shilingi ngapi?
 
Uaminfu hapo mnaupimaje mkuu?
Na hiko kiwanja kwa mfano 20x20 kinauzwa shilingi ngapi?
Uaminifu tunakuangalia machoni,pia tunapima sauti na mitetemo ya midomo(Utani)
Ni mil.3 tu
Ila hakijapimwa na gharama za kuandikishana kwa mtendaji na mjumbe zote ni juu yako.
Karibu
 
Kwa hiyo mwenye kulipa kidogo kidogo anapewa muda gani ili kumaliza deni?
Na kama akishindwa kulipa katika huo muda tajwa hatua zipi zitachukuliwa dhidi yake.

Tutaungana na wewe katika kutafuta mteja ili tukiuze kwa pamoja halafu fedha yako unarudishiwa,
Ila tutaangalia kama tunaweza kunywa kwa pamoja 10% na mdudu anapatikana kama hutumii basi we mwenyewe utaangalia
 
VP usalama wa maeneo sababu tunaogopa migogoro ya kuuziwa Mara Mbili na pia unalipa Kwa marejesho muda wa miezi mingapi na hela ya kutanguliza kianzio ngapi weka wazi
Maswali ya biashara hayataki pm weka wazi wote wanufaike
 
vina document gani maana hata kama mimimnumuaji ntakua mwaminifu vp uaminifu wa muuzaji, maana unaweza kununua ukajenge then baadae unasikia sjui ni eneo la mtu au taasis flani, na mmiliki ana hadi hati we mwenye karatasi ya mtendaji utasimama wapi kama sio kupata hasara.
 
Back
Top Bottom