Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,727
Kama kichwa kinavyojieleza naomba kama unamfahamu dalali mzuri wa nyumba Mtwara mjini uniunganishe naye.
Ahsante.
Ahsante.
Shilingi mkubwa no0684975250Kama kichwa kinavyojieleza naomba kama unamfahamu dalali mzuri wa nyumba Mtwara mjini uniunganishe naye.
Ahsante.
Mwezi wa nne ntakuwa mtwara....naweza kupata room self contained kwa 40000. maeneo ya coco beach au ligula?Mimi mwenyew ni mmiliki wa nyumba pale ligula karibia na jionee nipm nikupe nyumba nzur
Niliwahi kuishi mtwara, bei ya nyumba /vyumba haina tofauti sana na Far, bei hiyo huwezi pata mkuuMwezi wa nne ntakuwa mtwara....naweza kupata room self contained kwa 40000. maeneo ya coco beach au ligula?