DUMEGUY JF-Expert Member Aug 15, 2014 499 206 Dec 31, 2016 #1 Mambo vipi wadau nilikua naulizia kama kuna mtu anajua duka Linalouza drone kwa dar
Llio 002 JF-Expert Member Jul 14, 2015 1,631 2,038 Dec 31, 2016 #2 Nenda Jumbo..lipo benjamini william mkapa tower
Adolph Jr JF-Expert Member Nov 5, 2016 5,857 9,343 Dec 31, 2016 #3 Na mm nasubir jibu la bei yake. ...
Jenseny JF-Expert Member Jan 26, 2011 1,743 1,737 Dec 31, 2016 #4 zipo za kuanzia mill 3 had 15 kampunu ya rafiki yangu walinunua ya mill 8 ya sony