mkuu hii ni computer graphics na hicho kifupi kinatambulika sana tu kwa wanaojiusisha na hii fani
ma nimekutenga endelea kutengwa mimi nimeuliza watu wanaojihusisha na hii fani na pia kila kazi ina watu wake na kama una uwezo nay o usingeuliza hilo swali anyway kama sijakuelewa nisameheFedha tulizonazo ni za mawazo, badala kutushawishi tufanye biashara wewe unatutenga kuwa ni za watu maalumu.
Umenisikitisha kidogo.
Wabongo mna safari ndefu sana za kufahamu matumizi ya fursa...Ka
ma nimekutenga endelea kutengwa mimi nimeuliza watu wanaojihusisha na hii fani na pia kila kazi ina watu wake na kama una uwezo nay o usingeuliza hilo swali anyway kama sijakuelewa nisamehe
swali lake ameuliza kama mtu anayeitaji kuelewa ninacho maanisha nikaona nimjibu hivyo kwa sababu nafahamu anayejihusisha na hii kazi anaelewa kwa wepesi nilichouliza na huo ni msemo wa kawaida ila kibaya kilichoniumiza nipale alipoweka uzi mwingine akilalamika sasa unapolalamika badala ya kuuliza tena ueleweshwe vizuri unakua ni kama unamkejeri mt na mimi sikuja kumshawishi mtu hapa ilaa nilikuja kuuliza sasa ntakushawishije wakati na mimi nauliza nipate kujua kama biashara ipo na inaitajika vipiWabongo mna safari ndefu sana za kufahamu matumizi ya fursa...
Thread yako umezungumzia suala la soko na projects haidhuru hata kama umeuliza hao unaoita watalaamu!
Hata hivyo, kumbuka wapo watu ambao sio watalaamu ambao wanaweza kuhitaji service husika lakini wakashindwa kukufikia kwa sababu tu umetumia technical jargons! Mbaya zaidi, unaleta lugha za hovyo kwa wanaojaribu kuhoji tena kwa nia njema kabisa!!!
Ni kweli hujanielewa, kwa kuwa hakuna kanunu ya adhabu kwa kutokuelewa sioni ni kwa nini unaomba msamaha.Ka
ma nimekutenga endelea kutengwa mimi nimeuliza watu wanaojihusisha na hii fani na pia kila kazi ina watu wake na kama una uwezo nay o usingeuliza hilo swali anyway kama sijakuelewa nisamehe
Naomba nifundisheNafanya 3d kwa ajili ya game development na cartoon character modeling haswa
Fanya hivyo mkuuinaweze
kana ila labda nitengeneze tutorial niweke youtube na pia inaitaji uvumilivu na uwe umekusudia ntaweka baadhi ya sample hapa jukwaani muda si mlefu tusubiri sikukuu iishe