Habari za saa hizi humu ndani?
Naomba kupatiwa msaada wa mapendekezo ya bustani nzuri inayofaa kwa ajili ya sherehe ya harusi. Ninatarajia kufunga harusi na kuwa na wageni wasiopungua 400...
Hello friends, hivi mnafaham kuwa mbwa ni mlinzi mwaminifu wa kweli na unapotumia mbwa mwenye mafunzo unakuwa umeongeza uhakika wa usalama wako Mara dufu kuliko kutumia Masai au binadam yeyote...
Mashine za kutengeneza mkaa wa kisasa za manual yaani unatumia mkono zinapatikana. Bei inatofautiana kutokana na size ya mashine. Ila ndogo kabisa inaanzia sh. 50,000 inayoweza zalisha gunia...
Ina Vyumba vitatu kimoja kina choo chake
Sebule+dinning +Jiko+choo cha public+full tiles na gypsum
Maji safi+umeme+fence lenye geti
_______________________
Tank za kuhifadhi Maji
IPO kisiwani...
Inauzwa 4.8 mln(fixed)kwa mwenyewe ambaye ni mmiliki haidaiwi vibali tatizo lake ni gas ya ac imeisha ni ya kujaza passo ni ya piston 4 kwa mawasiliano piga simu 0715591141 nku link na muuzaji...
Wadau hiyo gari ipo sokoni, ipo kwenye condition nzuri, inatembea. Ina radio FM, air condition safi, ABC safi na kwa hakika hutojuta kuinunua. Bei inanzia 4.5, maelewano yapo. Kwa serious buyer...
Nyumbani technology wanakuletea huduma zifuatazo
1. Website designing and blogs designing
2. SEO setting (make your site popular
3.Tunauza traffic Kwa sites na you tube videos
4. Tunakusetia...
Kutoka Bongo5.com
Kama umekuwa ukitafuta simu kali ambayo itakuwezesha kufanya mambo mengi bila kuhitaji kuichaji mara kwa mara basi “Tecno Mobile” wanakusogezea hii inaitwa Tecno L9 Plus, simu...
Hello friends, hivi mnafaham kuwa mbwa ni mlinzi mwaminifu wa kweli na unapotumia mbwa mwenye mafunzo unakuwa umeongeza uhakika wa usalama wako Mara dufu kuliko kutumia Masai au binadam yeyote...
Haya ni maeneo ya kinondoni mtaa wa ufipa tukijiandaa kuchimba kisima kwa bei rahiiisi kabisa
Jina la kampuni ni Tawa water proffesional
Namba ya simu ni 0655 541948
Leo ninataka kufundisha kuhusu uso. Naomba chukua pen na karatasi uandike. Itakusaidia kufundisha wengine
Ngozi za uso kwa jinsia ya kike ziko aina tatu.
1. Kawaida
2. Kavu
3. Mafuta
1...
Nauza Toyota Vitz,ni yangu na haina shida yoyote.Imetemba kms 96,000 na haidaiwi road licence wala insurance...0714-796778 na WhatsApp ni 0628615685.Gari iko wazo,ukihitaji kuiona fika Tegeta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.