tawa driller
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 296
- 152
Bei rahisi kwa mfano tu bei gani kuchimba kisima hapoHaya ni maeneo ya kinondoni mtaa wa ufipa tukijiandaa kuchimba kisima kwa bei rahiiisi kabisa
BEI?0655541948 contact yake hiyo!hao jamaa wameninichimbia kwangu na kiukweli kazi waliyofanya ni nzuri!
Bei ni shillingi elfu sitini kwa mita mkuu na namba ya simu tayar ipo juu hapoHiyo bei rahisi ni shilling ngapi, na huna namba ya simu
Bei ni elfu sitini kwa mita hapo unapata kila kituBEI?
Nadhan mkuu sasa hivi litakuwa limekamilikaHili tangazo la biashara halijakamilika
Karibu mkuu tukuhudumieNitawatafuta soon
Bei ni hiyo hiyo hata mkoani? je inahusisha na gharama za kutambua uwepo wa maji, na mengineyo yanayohitajika kabla na baada ya kuchimba ? kama siyo weka mchanganuoHaya ni maeneo ya kinondoni mtaa wa ufipa tukijiandaa kuchimba kisima kwa bei rahiiisi kabisa
Jina la kampuni ni Tawa water proffesional
Namba ya simu ni 0655 541948
Hapana hiyo bei haihusishi na bei za mikoani bei za mokoani ni shillingi Laki moja kwa mita moja na kuhusu suala la kutambua uwepo wa maji nalo lina jitegemea ambalo bei yake ni shiliingi 250000 kwa waliopo dar es salaam kama upo nje ya dar es salaam tunaweza tukazungumzaBei ni hiyo hiyo hata mkoani? je inahusisha na gharama za kutambua uwepo wa maji, na mengineyo yanayohitajika kabla na baada ya kuchimba ? kama siyo weka mchanganuo
Bei ni elfu sitini kwa mita hapo unapata kila kitu
Hii gharama ya utambuzi wa maji inafanywa baada ya kujua au kupata uhakika uwepo wa maji au kabla ya kujua?Hapana hiyo bei haihusishi na bei za mikoani bei za mokoani ni shillingi Laki moja kwa mita moja na kuhusu suala la kutambua uwepo wa maji nalo lina jitegemea ambalo bei yake ni shiliingi 250000 kwa waliopo dar es salaam kama upo nje ya dar es salaam tunaweza tukazungumza
Kabla hatujajuwa tukishafanya hyo ground water survey ndio tutajuwa kuwa kama maji yapo au vipiHii gharama ya utambuzi wa maji inafanywa baada ya kujua au kupata uhakika uwepo wa maji au kabla ya kujua?
Kwa uzoefu wangu kwa kazi nilzo wahi kufanya hatujawahi kufanya survey halafu tukachimba tukakosa maji ila maji tunayapata kutokana na surveying reportWhat are % error kwenye utambuzi wenu, na mkichimba mkikosa maji gharama unakuwa ya nan??