Ni bustani gani nzuri kwa sherehe ya harusi Dar es Salaam

Clemford

Member
Nov 26, 2011
63
91
Habari za saa hizi humu ndani?

Naomba kupatiwa msaada wa mapendekezo ya bustani nzuri inayofaa kwa ajili ya sherehe ya harusi. Ninatarajia kufunga harusi na kuwa na wageni wasiopungua 400. Sihitaji kutumia ukumbi kwa sababu nataka kufanya sherehe ya harusi wakati wa alasiri kuanzia saa 10:30 mpaka 12 jioni watu wawe wanaondoka. Kwenu wadau naomba mawazo.
 
Back
Top Bottom