Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

hiana shida na imenyooka sana, ni namba c imenyooka.
0 Reactions
3 Replies
900 Views
Heshima kwenu wote, Nahitaji kusafirisha tiles box 75,kutoka Arusha kwenda Tanga mjini. Kwa yeyote mwenye lori linaloleta mzigo Arusha nakurudi Tanga na mzigo kidogo au tupu hilo litanifaa zaidi...
0 Reactions
2 Replies
832 Views
Mwenye nayo aweke Picha hapa Au njoo Pm
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nyumba. (Master bedroom/guest room/sebule/jiko/verandah/public toilet/parking/fenced/own luku/maji ya ku-share/2.6kms toka Banana/14.2kms hadi city center. Location: Banana kipunguni near...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Habari za muda wakuu. Naomba kujuzwa kama naweza kupata privet hostel maeneo ya Kigamboni, utaratibu wa kupata upoje, vyumba vina ukubwa gani na ni gharama kiasi gani.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza gari aina ya toyota allex. Namba c. Ina rim, radio, tairi bado mpya na bado ipo bomba kabisa
1 Reactions
56 Replies
11K Views
Tangazo la Semina ya Ujasiriamali itakayofanyika siku ya Jumamosi 25th/02/2017 Ukumbi wa Golden Rose Arusha Mjini Kwanzia saa 2:00 Asubuhi hadi 12:00 Jioni. Kiingilio Tsh.10,000/= Semina hiyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi HIACE mpya inauzwa shilingi ngspi?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Natafuta wafasiri wanaoweza kufasiri lugha hizi kwenda katika Kiingereza: Bangala, Kizigula na Mai Mai. Walio na uwezo huo,tafadhali karibuni inbox. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
872 Views
Make : Toyota Model : Noah Mileage : 110,183km Engine size: 2000cc Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic M/Year : 2000 Doors : 4 Seats : 8...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Make : Toyota Model : Raum Mileage : 69,900km Engine size: 1,500cc Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic M/Year : 2006 Doors : 5 Seats : 5...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jamvi wa jukwaa hili nahitaji kununua king'amuzi,naombeni msada wenu ni king'amuzi gani kizuri na bei yake nipo Dar
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamiiforums, Nahitaji water pump au mota ambayo ni 0.25 HP, 220 V yaani single phase. Je nitapata wapi? Naomba mwenye kujua zinapopatikana aniambie. Shukrani kwa wote watakaonisaidia!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nachora katuni za aina mbali mbali mfano za vichekesho, kisiasa,michezo na kijamii kwa wale wenye blogs, newspaper, magazine au anayehitaji huduma ya katuni na picha za kuchorwa aje pm
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninauza vifaranga wa kienyeji aina ya kenbro,Malawi Na Israel vina wiki mbili chanjo ya merek's,Newcastle,Na gumburo Nipo moshi mailisita Mawasiliano ni 0689350805 Na 0621699422 bei @2500
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina eneo langu nalisafisha kwa ajili ya kuwa shamba,kwa hiyo napata kuni nyingi sana,kama huko maeneo ya Dar na Pwani na unahitaji kuni nyingi kwa ajili ya shule au vitu vingine kama...
0 Reactions
4 Replies
924 Views
NAUZA GARI IST MODEL 2005 C.C 1300 BLACK NUMBER DCI .. KM 63,100. BEI SHILLINGS 8.5 MILLION .KARIBUN WATEJA.
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Naomben msaada kitanda changu bado kipya ila kina mdudu mweusi hiv anakula mbao ndan kwa ndan na kuacha matundu sasa naomben ushaur nifanyaje
0 Reactions
6 Replies
44K Views
Tunauza Viwanja vilivyopimwa ,vina ukubwa wa sqm 400 hadi 2000 , vipo umbali wa mita 150 hadi km 4 kutoka barabarani , IPO miradi tofauti , bei ni 20000 kwa sqm unaweza kulipa kwa awamu. Huduma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
LINE ZA UWAKALA ZA TIGOPESA BEI: 200,000 0718950680 0744993581 UKITAKA KUBADILISHIWA UMILIKIKI NI BURE TU IPA UWE NA 1.LESENI 2.TIN 3.KITAMBULISHO 4.PASSPORT 2 UTALETEWA MPAKA ULIPO
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom