Gari inauzwa

Iruru

JF-Expert Member
Jan 27, 2014
1,471
2,889
Wadau hiyo gari ipo sokoni, ipo kwenye condition nzuri, inatembea. Ina radio FM, air condition safi, ABC safi na kwa hakika hutojuta kuinunua. Bei inanzia 4.5, maelewano yapo. Kwa serious buyer aje inbox
IMG_20170310_141325.jpg
IMG_20170310_141608.jpg
IMG_20170310_141133.jpg
IMG_20170310_141240.jpg
 
Gari gani mkuu na unapatikana wapi mi naitaji ipo mbili na nusu nicheki hapa 0713880711
 
Toa maelezo mazuri, gari gani, ya mwaka gani, uwezo wake cc ngapi, fuel usage, transmition etc. hapo umeweka wateja njia panda.
 
Nadhani hyo ndio gari yenye shape mbaya kwa upande wangu mm kuwahi kuiona. Nissan cube dah kama kibox cha kuekea vifaranga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom