PAMPU YA MAJI INAUZWA

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
9,428
27,070
cb362cbc8d1ae360a22cfdb938137e8d.jpg
b7e9ee414946bb3ac1ae8e0dffbd51b0.jpg
6ffb832858c81ab6c1df2248560a9ea4.jpg

HONDA
6.5hp
2-inches horse

Ipo full na kila kitu chake
Mawasiliano: 0718141970

Bei : 320k maelewano yapo
tuma mesej/piga tutaelewana
 
Honda
6.5hp
2inches horse

Mkuu hiyo bei mbona kubwa sana? Na je ni used au mpya? Manake ya inchi 3 ndo inauzwa hivyo au ikiwa 2" ndo bei inakuwa kubwa zaidi? Inavuta lita ngapi kwa dk na inawezo wa kuvuta maji kwenye kina cha mita ngapi kwenda chini??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom