Mbwa ni mlinzi wa kweli

amani ya kweli

Senior Member
May 2, 2015
149
17
Hello friends, hivi mnafaham kuwa mbwa ni mlinzi mwaminifu wa kweli na unapotumia mbwa mwenye mafunzo unakuwa umeongeza uhakika wa usalama wako Mara dufu kuliko kutumia Masai au binadam yeyote? Wasiliana nami nikushauri au nikuuzie mbwa wa Kisasa na wenye urahisi wa kufundishika. 0768638360
 
Una mbwa aina gani (breed)? Bei zake zikoje? Labda tuanzie hapo.. mimi napenda mbwa sana kwa ulinzi.
 
Hii ni dharau kwa kabila ulilolitaja kulilinganisha na mnyama! Fanya biashara acha dharau mb.wa wewe.
 
Hello friends, hivi mnafaham kuwa mbwa ni mlinzi mwaminifu wa kweli na unapotumia mbwa mwenye mafunzo unakuwa umeongeza uhakika wa usalama wako Mara dufu kuliko kutumia Masai au binadam yeyote? Wasiliana nami nikushauri au nikuuzie mbwa wa Kisasa na wenye urahisi wa kufundishika. 0768638360
kaka hata mm ni mfugaji mwenzio niko zanzibar ila kuwapa mafuzo ndio shidaa nitakutafutaaa.0776450067
 
Hello friends, hivi mnafaham kuwa mbwa ni mlinzi mwaminifu wa kweli na unapotumia mbwa mwenye mafunzo unakuwa umeongeza uhakika wa usalama wako Mara dufu kuliko kutumia Masai au binadam yeyote? Wasiliana nami nikushauri au nikuuzie mbwa wa Kisasa na wenye urahisi wa kufundishika. 0768638360
Una mbwa aina gani (breed)? Bei zake zikoje? Labda tuanzie hapo.. Mbona hujibu????????
 
Yani mbwa anipe tabu namtafutia minofu ya mbuzi ,samaki nampa kisha naiba kila kitu

Akiwa mbishi anapigwa na ncha

Mbwa ni pambo tu na sio mlinzi
 
Back
Top Bottom