Somo la ngozi ya uso na vipodozi stahiki kwa ajili ya ngozi ya usoni (Orflame)

Professional Trader

JF-Expert Member
Apr 5, 2016
1,220
1,117
Leo ninataka kufundisha kuhusu uso. Naomba chukua pen na karatasi uandike. Itakusaidia kufundisha wengine

Ngozi za uso kwa jinsia ya kike ziko aina tatu.
1. Kawaida
2. Kavu
3. Mafuta

1. Kawaida- huyu anakuwa ana mchanganyiko wa sehemu zenye mafuta na kavu. Anakuwa na mafuta kwenye paji la uso, pua na kidevu (T) kwingine kukavu

2. Kavu- huyu uso wake lazima apake mafuta lazima anapauka na kukatika katika. Akipaka powder au angelface inakaa muda mrefu bila kupotea. Kama anapaka lotion usoni atakwambia lotion yangu lazima nitie glycerine la sivyo nitapata.

3. Mafuta - huyu asipopaka mafuta baada ya muda mchache uso unakuwa umejaa mafuta. Akipaka powder bila foundation baada ya muda mchache inakuwa imepotea. Mara nyingi wanakuwa na vichunusi usoni. Akitembea kwenye jua ana sweat sana usoni

Sasa kila kipodozi cha usoni kwenye catalogue kimeandikwa ni kwa aina gani ya ngozi

Naomba kusisitiiza kabla hujampatia yeyote kipodoz uliza alikuwa anatumia nini, kama product ya chemical mpatie aloe Vera kwanza
Aloe Vera cream inasaidia kutoa sumu kwenye ngozi inayosababishwa na vipodozi vyenye kemikali

AINA YA VIPODOZI VITUMIKAVYO USON:
1. sabuni ya kunawia uson ziko kwa majina tofauti
CLEANSER, FACE WASH, GEL WASH.
Nawa kwa kutumia pamba.

2. TONER, ni kipodozi kinachotumika baada ya kusafisha uso .Kazi yake kuzuia vijidudu kuingia ndan ya ngozi. kuadjust ngozi kwenye uasilia wake.
Toner haioshwi.

NOTE. Wenye ngoz kavu hawatumii toner na senstive skin.

3. EYE CREAM
Hii upakwa kuzunguka macho kwa nje.
Husaidia kuzuia makunyanzi kuzunguka macho, kwa kuwa makunyanz huanzia kwenye macho. Na kuondoa au kuzuia alama nyeus kuzunguka macho.

4. SERUM,
iko kwa Ecolagen na true perfection, sublime bright na ultimate lift.
Kazi yake ni kurudisha ngoz kwenye uhalisia wake kuzuia makunyazi.

5. DAY CREAM-KIPODOZ CHA MCHANA.
Hiki ni kwa ajili ya kupakwa mchana au asubuhi, kaz yake ni kulinda ngozi na jua upepo nk, vingine vina SPF vimeandikwa hivyo vinatulinda na mionzI ya jua inayosababisha kansa.

6. NIGHT CREAM-cream ya usiku
upakwa usiku ili kulisha ngoz na vile vilivyopotea mchana.

NOTE: Vipodoz vingine havina mchana na usiku ,huwa kimoja,
hiyo ni 2 in 1. Mf essential

Kwa mahitaji ya vipodozi vyote hivyo tajwa na vilivyoelezwa hapo juu piga SIMU no 0659254488 or 0688624299 Tutakuletea ulipo kwa Dar es salam na Mkoan tutakutumia bei zetu ni raisi sana
 
Back
Top Bottom