Habar wakuu nauza cm yangu ya Nokia Lumia 710 IPO katika hali nzuri mno bei sh elfu 80 sababu za kuuza ni kwamba Window phone imenitoa jasho nimezoea Android akina Tecno kama Kuna yeyote...
Njombe institute inawatangazia nafasi za masomo kwa kozi mbalimbali za hoteli.
Ada zetu ni nafuu sana na chuo kina mazingira mazuri ya kusomea pamoja na vitendo.
Mwanafunzi anatafutiwa kazi...
Habari ngudu, Ninatafuta watu tunawoweza kufanya biashara. Nita vitu vingi ambavyo tunaweza kuviuza Tanzania. Nguo mpya and mitumba from UK, viatu,football shirt (Jersey), Car spare parts, Tvs...
Wandugu, habari???
Kwa yeyote mwenye kiwanja maeneo ya Buyuni ulipo mradi wa PSPF au jirani anijulishe.
Aseme ukubwa wa eneo lake na bei.
Karibuni PM au email humble2080@yahoo.com
""Natafuta mteja/wateja wa mifugo mbuzi, kondoo na ng'ombe. Nina uzoefu mkubwa katika biashara hii maana nimeifanya kwa muda mrefu na asili yangu ni ufugaji. Kwa maelezo zaidi piga...
Natafuta mteja/wateja wa mifugo mbuzi, kondoo na ng'ombe. Nina uzoefu mkubwa katika biashara hii maana nimeifanya kwa muda mrefu na asili yangu ni ufugaji. Kwa maelezo zaidi piga namba:0659216426...
Habari zenu member wa Jf.
Kwa mda huu niko Mbeya Nahitaji lain za M-pesa , Tigo- Pesa na Airtel Money, Kwa mtuyoyote aliyo nayo na anaweza na Anauza asisite kuwasiliana na mimi kwa kunipim...
Ni matumaini yangu kua unatatizo ndio maana umefika hapa,
Kabla sijaendelea na dhumuni nililokusudia kueleza au kutatua tatizo ningependa kuweka wazi jambo lifuatalo,
Kuna aina mbali mbali za watu...
Kiwanja kinauzwa Mapinga Bagamoyo.Kilomita moja na nusu toka Bagamoyo road.Kiko kàribu na kanisa na kanisa Katoliki Udinivu.Ukubwa ni 20 kwa 20.Umeme na maji viko kiwanjani.Mawasiliano 0652409259.
Habari wana jf,kw uhitaji wa huduma zifuatazo karibu kwetu;
1) kuchimbiwa kisima ( water well drilling )
2) kufanya Ground water survey
3) kutengeneza submeserble pump zilizo haribika
4) kufunga (...
Iwe imenyooka sana....
Isidaiwe vibali,body isiwe imepigwa rangi.....naaminsha gari iwe nzimaa
Model iwe ya nwaka 2003 na cc zake ziwe ni 1300
Bei ya kununulia ni 9.5mln
Kama unayo tuwasiliane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.