Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 624
- 548
Mashine za kutengeneza mkaa wa kisasa za manual yaani unatumia mkono zinapatikana. Bei inatofautiana kutokana na size ya mashine. Ila ndogo kabisa inaanzia sh. 50,000 inayoweza zalisha gunia kuanzia mbili mpaka tatu zile kubwa kabisa. Mashine kubwa kabisa ni ya sh. 100,000 inauwezo wa kuzalisha gunia kuanzia 4 mpaka 5.
Ukinunua mashine hizi pia tunakufundisha jinsi ya kuibadilisha na kuwa ya umeme na kuongeza uzalishaji hadi kufikia gunia 15 kwa siku. Kama utaona kununua mashine ambayo iko tayari ni pesa nyingi, unaweza tengeneza yako mwenyewe. Kuanzia wiki iliyopita kitabu ninachokiuza cha jinsi ya kutengeneza mkaa wa kisasa kimeongezwa kurasa zinazoonyesha jinsi ya kutengeneza mashine yako mwenyewe. Hii itafanya upunguze gharama kwa kiasi flani.
Unaweza kusoma zaidi katika post ifuatayo https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/555212-mafunzo-ya-kutengeneza-mkaa-wa-kisasa.html
Mashine zenyewe ziko kama hii. Nipigie katika 0758 308193 tuongee zaidi