Kwanza muulize huko sheli anakutana na gari ngapi za 2016?Naendesha ya 1996 raha sana sijui wewe unayesema gari la kizamani, vip ukienda sheli wenye magari ya hivi sasa ya kisasa zaidi je wanabei tofauti za wese!?
BombaNaiendesha hii gari mwaka wa nne sasa,a very nice car and comfortable, long live Honda crv
Mi mwenyewe naiendesha hii ni gari ngumu sanaNaiendesha hii gari mwaka wa nne sasa,a very nice car and comfortable, long live Honda crv
Mkuu ungeweka picha nyingiFull duty paid. Great condition ,
Hii gari bado ipo?
Call 0758216498