Swali hili limekuwa linawatatiza watu wengi sana,na mara nyingi kukosa chaguzi ya wazo gani alifanyie kazi?
OPTIMAX BUSINESS CONSULTANTS Wanaandaa michanganuo ya biashara(Business Plan)...
Mkutano mkubwa wa injili unarushwa kwa TV na Radio na YouTube kutoka mwanza na unakufikia unakufikia nyumbani kwako moja kwa moja <live> au Mubashara kila siku kuanzia saa 11:30 jioni mpaka saa...
Corolla 110 namba B, inauzwa bei ni Tsh. 4,000,000/- (million nne), gari ipo katika hali nzuri na haina tatizo lolote, haidaiwi vibali na haina deni lolote, kama upo serious piga namba 0789443619...
Tikiti zinauzwa kwa bei nafuu. Jumla na reja reja sh.. 1000 kwa 2000 pia kwa 500 utapata. Tumeshusha mzigo pale tandare sokoni nyuma kidogo ya mazense. Piga simu. 0682 665574 au...
Habari wakuu.Karibu ufurahie teknolojia mpya zitakazoongeza ufanisi,kupunguza gharama na kuongeza faida katika kazi zako.Tuna software mbalimbali kwaajili yako.Nazo ni:
-Accounting Package for...
Habari yenu wadau napangisha nyumba nzuri ya vyumba vitatu na jiko na choo ..Nyumba bado mpya inapangishwa kwa sh 170000/ kwa mwezi pia nyumba iko mbagala -charambe- majimatitu : 0714218952,0687116582
Kwa anayehitaji Dish la DSTV linapatikana Tabata kwa bei tajwa hapo. Haipungui hata mia.
Ninaliuza kwa kuwa nimekwisha acha kuangalia TV maiak miwili iliyopita (since then nakesha hapa JF, so I...
Nina shida ya haraka nauza Till yangu yya AIRTEL MONEY , inafanya kazi zote vizur ikiwa imeunganishwa na program ya kusajili Wateja.
Bei: 75,000 maongezi yapo.
Nipigie au Ni text: 0764586354...
Habari?
Chumba,sebule,jiko na choo inahitajika kwa haraka maeneo ya Magomeni Mapipa au Muhimbili...
Budget 150,000/= ila inaongezeka kulingana na hadhi ya nyumba..
Nijulishe kupitia 0766444050 au...
Heshima kwenu wote,
Nahitaji kusafirisha tiles box 75,kutoka Arusha kwenda Tanga mjini.
Kwa yeyote mwenye lori linaloleta mzigo Arusha nakurudi Tanga na mzigo kidogo au tupu hilo litanifaa zaidi...
Habari za muda wakuu.
Naomba kujuzwa kama naweza kupata privet hostel maeneo ya Kigamboni, utaratibu wa kupata upoje, vyumba vina ukubwa gani na ni gharama kiasi gani.
Tangazo la Semina ya Ujasiriamali itakayofanyika siku ya Jumamosi 25th/02/2017 Ukumbi wa Golden Rose Arusha Mjini Kwanzia saa 2:00 Asubuhi hadi 12:00 Jioni. Kiingilio Tsh.10,000/=
Semina hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.