Hii ndio simu itakayovunja rekodi ya kuchaji betri kwa haraka mno

TECNO Tanzania

Senior Member
Jul 6, 2016
192
217
Kutoka Bongo5.com

Kama umekuwa ukitafuta simu kali ambayo itakuwezesha kufanya mambo mengi bila kuhitaji kuichaji mara kwa mara basi “Tecno Mobile” wanakusogezea hii inaitwa Tecno L9 Plus, simu hii itakuwa na uwezo wa kuchaji fasta kupita kiasi.

Unaambiwa kuchaji asilimia 5 tu kutakuwezesha kupiga picha takribani 1,000. Tazama video hapa chini ikifunguliwa kutoka kwenye boksi na kucheki sifa ilizonazo.

Tecno L9 Plus inatarajiwa kuingia sokoni hapa nchini katikati ya mwezi huu wa Machi na habari njema kutoka Tecno ni kwamba sasa unaweza kuweka oda yako mapema ambapo mteja ataweza kujipatia kifurushi cha zawadi.

Baadhi ya zawadi zitakazogawiwa ni Boom Headphones, mabegi ya mgongoni na nyingine nyingi. Unachotakiwa kufanya ni kufika katika maduka yafuatayo na kulipa kiasi cha shilingi 30,000 (Elfu thelathini) kama malipo ya awali na moja kwa moja utajipatia kifurushi cha zawadi. Muda wa kushiriki ni kuanzia 10.03.2017 hadi 20.03.2017.

Tecno  L9.png

Kwa taarifa zaidi nakusihi kutembelea kurasa za mitandao ya kijamii ya Tecno kujua zaidi.

Facebook: https://www.facebook.com/TECNOMobileTanzania/
Instagram: TECNO Mobile Tanzania (@tecnomobiletanzania) • Instagram photos and videos
Twitter: TECNO Mobile TZ (@TECNOMobileTZ) | Twitter
 
Itauzwa bei gani, we ni agent? unapatikana wapi?...

View attachment 480285

Kwa taarifa zaidi nakusihi kutembelea kurasa za mitandao ya kijamii ya Tecno kujua zaidi.

Facebook: https://www.facebook.com/TECNOMobileTanzania/
Instagram: TECNO Mobile Tanzania (@tecnomobiletanzania) • Instagram photos and videos
Twitter: TECNO Mobile TZ (@TECNOMobileTZ) | Twitter
 
Tecno mnatuokoa sana watanzania tulio wengi japo wengi wakiwa mitandaoni hawataki kukiri hilo, pamoja na hali ya uchumi kua tete tecno mnatufanya tubaki ulimwengu wa digitali pamoja na hao wenye ma-iphone yao, as long as wote tunapata fursa ya ku-upload na kudownload vitu mtandaoni I don care of other features, endeleeni kutuboreshea wanyonge wa taifa hili
 
Mi ntasubiri nokia. Hiyo L9+ battery 5000mAh, L8+ ilikuwa kubwa kuliko hii 5015mAh, labda tofauti ni android 7.0 na vitu vingine vidogo km housing imeporeshwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom