Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu salam, Hiii gari aina ya nissan civilian bus ilikuwa inauzwa 16, imeshuka bei hadi 12M (kwa hati ya dharura[emoji3] [emoji3] [emoji3] )na mazungumzo yapo. Wakuu changamkieni gari hii ni...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu...... Nimeona fulsa ktk sector ya picha esp still picture. Natafuta photographer nzuri niweze kjifunza toka kwake. I'll pay kama atakavyohitaji. NB AM LOOKING FOR THE BEST...
0 Reactions
1 Replies
676 Views
Karibuni wadau paka wangu wamejifungua nauza vitoto ni vizuri vipo very sensitive kwa panya vina Bluetooth
8 Reactions
28 Replies
2K Views
WanaJF nauza Kuku Chotara na pia ndegekanga kwa bei poa. Bei ni maelewano. Namba zangu za simu ni 0757 660 554.Nipo Arusha.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari rafiki, kijana,ndugu,mfanyabiashara, wahitimu wa vyuo na watanzania wote kwa ujumla. 1.Je ungependa kuungana nami katika huduma mpya ya kusafisha sink za toilet, za kunawia na vigae kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vitz new model iwe katika hali nzuri ,mwenye nayo awasiliane nami chap,0622300250
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukinunua kiwanja kupitia kampuni yetu ,tutakupa Mkopo wa tofali 1000 za kuanzia ujenzi, tunaweza kukupa Mkopo kwa awamu hadi unamaliza nyumba, ( Mkopo wa vifaa sio pesa) * bei kuanzia Mil 5.8...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Afro Animations inawatangazieni offer hii ya punguzo la bei kwa wanaotaka kutengeneza Logo za kampuni, mashirika, vyama, na logo binafsi. Logo hizi zitatengenezwa jinsi utakavyo taka (2D/3D)...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wakuu wangu, naomba mwenye uzoefu wa bei za simu natumani humu jf wajanja ni wengi mno mimi nahitaji kuagiza pesa nikanunuliwe simu aina ya huawei p9 nlikua naomba nifahamu japo bei ili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kampuni ya cccltd inawatangazia watanzania wote wenye kutaka kumiliki Makazi yao na kuachana na adha za upangaji , tumewaletea mpango rahisi sana , NUNUA KIWANJA KWETU CASH, Tutakukopesha tofali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Iam looking for partners to open/launch a big restaraunt at IRINGA town . seriously who are intersted I welcome..
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari? Simu ipo sokoni inauzwa kwa Tshs. 270,000/=. Simu haina scratches zozote na ipo complete ikiwa na vifaa vyake vyote kama vile ear phone na charger. Simu ipo Dar na kwa anayehitaji...
0 Reactions
3 Replies
903 Views
HK ADVENTURES & TOURS imeandaa safari ya kwenda kuitembelea hifadhi ya MIKUMI tarehe 15/04/2017 kwa gharama ya elfu 47,000 Tsh. Ambayo itahusisha usafiri,tozo ya hifadhi na vinywaji. Kwa Maelezo...
1 Reactions
6 Replies
776 Views
Ram 3gb Hdd 250 gb Processor 2.17
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninauza kiwanja changu kilichopo bagamoyo, eneo la Nzole kitalu A, kiwanja kina ukubwa wa mita za mraba 846. Kipo mita 300 kutoka barabara kuu...
0 Reactions
2 Replies
785 Views
Wakuu mwenye kujua bei za mifi router za 4G na 3G naomba anipe bei....?? Bei iwe ya dukani mpyaa
0 Reactions
13 Replies
4K Views
USIPITWE NA FURSA ILIYOPO KATIKA PESA ZA KIDIJITALI BADO SIKU 5 Dunia inakimbia kwa mwendo kasi wa ajabu, sasa inahama kutoka matumizi ya pesa za kushikika (physical) kwenda fedha ya kidigitali...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
kwa picha na mawasiliano 0679043099...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Kwa mahitaji ya kufungiwa gps tracking devices kwa ajili ya usalama wa gari yako na taarifa muhimu unazo paswa kufahamu kuhusu gari yako VIAN group company tuko kwa ajili yako tunapatikana...
0 Reactions
1 Replies
729 Views
Ipo poa ni Mpya kabisa ,internal memo 32gb-64gb,kwa 270,000/=Tu njoo au Nipigie tuongee ,nipo Tabata Segerea saa Nene 0658-154647
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Back
Top Bottom