Fursa: Natafuta Microsoft Kinect Sensor

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,413
3,904
Natoa furasa hii kwa anayetaka kutengeneza pesa fasta, nahitaji Microsoft Kinect Sensor for XBox One. Pia nahitaji Microsoft XBox Kinect Adapter. Pesa hii hapa nimeishika mkononi.
 
Mkuu ipo sensor ya Xbox 360 kinect ... sijui kama zinaingiliana.
 
Hapana, ya 360 haitafaa kwa matumizi yangu. Inabidi iwe ya XBox One. Na hiyo cable adapter pia inayouzwa tofauti pia inabidi iwe katika manunuzi kwa sababu bila hiyo sitaweza kuitumia hiyo sensor.
 
Back
Top Bottom