mlagilamakawao
Senior Member
- Feb 22, 2017
- 189
- 120
Iam looking for partners to open/launch a big restaraunt at IRINGA town . seriously who are intersted I welcome..
Kwetu iringa but I don't think kama kuna mzunguko wa hela mzuri hapo ...Iam looking for partners to open/launch a big restaraunt at IRINGA town . seriously who are intersted I welcome..
Wote wale wale!!! Mbona na wewe unaandika luga tusiyoielewa?Mkuu si bora ungrandika kwa kiswahili ungeeleweka vema na ujumbe wako kufika kwa walengwa vizuri, kuliko huo mkorogo /mchanyato uliouandika .
Ila ungeweka even a simple analysis ya huo mradi wako na even in a nutshell ili tuweze kufanya SWOT analysis ndogo kabla ya kufikia hitimisho la kukutafuta after being assured if the particular project is viable or not.