Naomba anayefahamu kampuni ya kuuza vitabu nje ya nchi

Supervision

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
265
203
Habari ndugu zanguni.

Mimi ni mwandishi wa vitabu vya utambuzi pamoja na makala nahitaji kupeleka vitabu vyangu nje ya nchi. Kwa yeyote ambaye anafahamu kampuni ambayo inaweza kuunua vitabu vyangu na kuvipeleka nje ya nchi naomba anijulishe niweze kuhangaikia fursa.

Nawasilisha
 
Wasiliana na Amazon. Unaweza ukauzia vitabu vyako huko online! Jitahidi sana kuwa mwaminifu na mwenye kua-update customers wako ili ujenge profile nzuri!
 
Back
Top Bottom