Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu husika na kichwa tajwa hapo juu karibu tukuuzie viwanja katika project ya SOMANGIRA iliyopo kigambon Viwanja na Maelezo yake nitaatach kwa Maelezo zaidi nichek WhatsApp 0763772636...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada kwa mwenye ramani soft copy au picha ya ghorofa moja ambayo chini ni frem za maduka na juu ni matumizi mengine anitumie kwenye email yangu lyatuujudicate84@gmail.com.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukitaka Kiwanja,nyumba na maeneo ya mashamba Dodoma Ni-pm ,lakini pia Wewe Mwenye shamba ,Kiwanja Dom pia tuwasiliane,asante
0 Reactions
2 Replies
834 Views
Nauza kiwanja kipo eneo la Ukuni/Bako. Kimepimwa na ukubwa wa sqm 842. Kipo kwenye kona ya barabara kuu na ya mtaa. Mawasilianao 0754371053
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza kiwanja Kitunda kibeberu 20x20 Bei. 6.5m mmiliki mimi mwenyewe.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
bado ina hali nzuri kabisa.bei 200,000(negot.) npo dar simu 0659626782
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CCC LTD,inawakaribisha Watanzania wote kwenye mradi wa uwezeshaji ktk sekta ya Makazi. Sera yetu ni kufanikisha upatikanaji wa Makazi kwa njia rahisi kwa watu wengi wa kipato cha chini kati na...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Bei Tsh. 650,000/= Spec. Screen Size 5.70-inch Resolution 1440x2560 pixels Storage 32GB Processor 1.5GHz octa-core RAM 4GB Rear Camera 16-megapixel Front Camera 5-megapixel OS Android 5.1.1...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
16gb internal 4g network Gud camera Gold New &Full accessories
0 Reactions
7 Replies
894 Views
Katika kipindi hiki cha sikukuu ya pasaka.. Mwenye uhitaji wa kuku mmoja au au zaid ya hapo kwa lengo la kuenjoy mwenyewe au biashara... Baaaas toa order sasa ili upate kuku walio nona na wenye...
0 Reactions
5 Replies
984 Views
Habari wana jf? Nilikuwa nimeanzisha ka mrad kakufuga nguruwe, nna nguruwe wakubwa wa tatu. Na watoto wao wenye miezi 4. Nnawauza wote kwa pamoja! Bei ni maelewano tu. Eneo nnapofugia ni kbaha...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kipo Madale kwa Kawawa, Kina ukubwa wa Meter 20x20. Kipo kwenye eneo lililopimwa kwajili ya makazi ya watu. Kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Bei Shilingi Milioni Sita na na laki...
0 Reactions
1 Replies
750 Views
Anahitajika fundi wa kushona nguo za kike na kiume. Kwa maelezo ni pm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta Samsung A7 2016 mpya au iliyokatika hali nzuri ofa laki 4 Mawasiliano nicheki 0717760515.
0 Reactions
2 Replies
602 Views
Umofia kwenu wadau. Rejea kichwa hapo juu,nahitaji mojawapo ya hizo pikipiki tajwa hapo juu bajeti ni 1m. CONDITION. Isiwe imetumika zaidi ya miezi 6. Napatikana IRINGA.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu,, ,natafuta Flem kwa ajili ya kuuza Nguo na urembo, kati ya maeneo haya,sinza,tabata,Ubungo, yeyote mwenye kujuwa,naomba anijuze tafadhali.iwe barabarani. Natanguliza shukrani...
0 Reactions
2 Replies
745 Views
Jamani nawaomba kesho muwe makini na taharifa mbalimbali mtakazo zipokea nyingine zaweza kuwa sio za kweli kutokana na siku ya kesho 1/4/2017 ni siku ambayo watu wengi wana amini ni siku ya wajinga
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari rafiki, kijana,ndugu,mfanyabiashara, wahitimu wa vyuo na watanzania wote kwa ujumla. 1.Je ungependa kuungana nami katika huduma mpya ya kusafisha sink za toilet, za kunawia na vigae kwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
16 gb fingerprint price=310 000/= tshz mawasiliano 0625514257
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Salaam..wandugu nna nyumba nyingine tena sokoni ipo Dodoma mjini meliwa..ukubwa wa kiwanja ni 25*33 haina fence ila ina grill na imepauliwa bado finishing tuu..umeme na maji ni uhakika bei 35...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom