Nauza Vodaphone vfd-300 smartphone bei poa 50,000/=

kilanio

JF-Expert Member
May 30, 2015
221
69
Habarin Wakuu,

nauza Simu tajwa hapo juu bado hali ya upya,nimeinunua mwez Feb mwanzoni,haina tatzo lolote wala mchubuko wowote ule,

Ina Duo cameras, Internal memory ni 4gb, Ram 512mb, ni single line inasoma Voda ila waweza I flash ukipenda, Betri ina Kaa na chaji vizur,Ina support PDF files,YouTube, watsapp, video calls,immo na n.k
Ina 3G.


Niko Dar

Contact 0627288599

Karibuni!

e8e0dac0e40f42a19b0af1d0a305b609.jpg
9eaf9fd92198c5aa6fce9124fb639060.jpg
13fdfee74b68c2e56ed267a691b02673.jpg
7e8b6b6c80da402cd869d2ee28213d64.jpg
 
sasa mkuu simu ina mavitu yoote vijana wanayoyataka na wewe umenunua February tu kwa nini unaiuza, mi naona ubaki nayo tu, umeshaichokonoa umeona sio unataka kutua mzigo
 
Njoo na 40 uje uchukue yangu...pale dar free market mall: SAA 4-6. Ntakuwa ofisini
 
sasa mkuu simu ina mavitu yoote vijana wanayoyataka na wewe umenunua February tu kwa nini unaiuza, mi naona ubaki nayo tu, umeshaichokonoa umeona sio unataka kutua mzigo
Hapana Mkuu,nimepatiwa zawad na MTU ,simu nyingine ambayo ni kubwa zaid ,hvyo hii imebak IPO tu ndani haina kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom