chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
Habari wakuu wangu, naomba mwenye uzoefu wa bei za simu natumani humu jf wajanja ni wengi mno mimi nahitaji kuagiza pesa nikanunuliwe simu aina ya huawei p9 nlikua naomba nifahamu japo bei ili ntavyoagiza nisipigwe.
Natanguliza shukrani. Asanteni
Natanguliza shukrani. Asanteni