Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,188
- 7,490
Wakuu salam,
Hiii gari aina ya nissan civilian bus ilikuwa inauzwa 16, imeshuka bei hadi 12M (kwa hati ya dharura )na mazungumzo yapo. Wakuu changamkieni gari hii ni nzuri iko barabarani goms, kko. Mimi nimehamia dom usimamizi nikiwa mbali unakuwa mgumu sana ndio maana naiuza. Kuiona piga 0685247148. Njoo na fundi ajaribu gari na sio dalali akupige salio