Nunua kiwanja cash,tukupe mkopo wa tofali 1000

cccltd

Member
Feb 18, 2017
64
18
Ukinunua kiwanja kupitia kampuni yetu ,tutakupa Mkopo wa tofali 1000 za kuanzia ujenzi, tunaweza kukupa Mkopo kwa awamu hadi unamaliza nyumba, ( Mkopo wa vifaa sio pesa)

* bei kuanzia Mil 5.8 na kuendelea
* Huduma hii ni kwa Wateja wa Viwanja vyetu tu.
* kampuni itasimamia ujenzi
* Viwanja vimepimwa hivyo hati yako itakua ni dhamana

Viwanja vipo maeneo tofauti kigamboni, Mvuti, Maeneo ya karibu na Mbande,( Azam stadium)

Maeneo yapo karibu na Huduma zote muhimu,
USISITE KARIBU TUKUWEZESHE 0674880470, 0762781778, 0762576878

Sasa mimi ninashida na kiwanja,sasa hayo matofali ya nini? Kwani nilazima kujenga kwenye hicho kiwanja:):):)

Sera ya kampuni ni kurahisisha watu wapate Makazi sasa ukinunua na usiwe na shida ya tofali hakuna shida

Ukinunua kiwanja kupitia kampuni yetu ,tutakupa Mkopo wa tofali 1000 za kuanzia ujenzi, tunaweza kukupa Mkopo kwa awamu hadi unamaliza nyumba, ( Mkopo wa vifaa sio pesa)

* bei kuanzia Mil 5.8 na kuendelea
* Huduma hii ni kwa Wateja wa Viwanja vyetu tu.
* kampuni itasimamia ujenzi
* Viwanja vimepimwa hivyo hati yako itakua ni dhamana

Viwanja vipo maeneo tofauti kigamboni, Mvuti, Maeneo ya karibu na Mbande,( Azam stadium)

Maeneo yapo karibu na Huduma zote muhimu,
USISITE KARIBU TUKUWEZESHE 0674880470, 0762781778, 0762576878
Kigamboni sehem gani? Kigamboni kubwa sana!

Tuna maeneo mengi kigamboni , kata ya somangira tuna Viwanja maeneo ma5 , mwembe mdogo, amani gonvu ,idara ya maji, amani gonvu kichangani pia Mwasonga, karibu na chuo cha wakorea

Ukinunua kiwanja kupitia kampuni yetu ,tutakupva Mkopo wa tofali 1000 za kuanzia ujenzi, tunaweza kukupa Mkopo kwa awamu hadi unamaliza nyumba, ( Mkopo wa vifaa sio pesa)

* bei kuanzia Mil 5.8 na kuendelea
* Huduma hii ni kwa Wateja wa Viwanja vyetu tu.
* kampuni itasimamia ujenzi
* Viwanja vimepimwa hivyo hati yako itakua ni dhamana

Viwanja vipo maeneo tofauti kigamboni, Mvuti, Maeneo ya karibu na Mbande,( Azam stadium)

Maeneo yapo karibu na Huduma zote muhimu,
USISITE KARIBU TUKUWEZESHE 0674880470, 0762781778, 0762576878

Maeneo ya Mbezi kuendelea hamna mimi naishi ukanda huo so nikinunua kiwanja Kigamboni ni kinyume

Back
Top Bottom