Huduma mpya na Ajira kwa wote

billionaire17

Member
Mar 31, 2017
31
43
b3101052846edf3e9dbe7c02f96818b8.jpg

Habari rafiki, kijana,ndugu,mfanyabiashara, wahitimu wa vyuo na watanzania wote kwa ujumla.
1.Je ungependa kuungana nami katika huduma mpya ya kusafisha sink za toilet, za kunawia na vigae kwa ujumla kwa kutumia vifaa vya kisasa?
2. Je unafahamu mahali/hoteli/shule/bar/ na sehemu nyingine kibao zenye sink zilizofubaa na zisizotamanika?
3.Je ungependa kuwa bussiness parter katika kutoa huduma hiyo?
Kifupi ni kwamba tumewaletea huduma mpya ya kusafisha sink, marumaru na vioo vilivyofubaa na kupoteza muonekano wake. Kwa kutumia dawa na vifaa vya kitaalam tunakurudishia sehemu hizo kuwa mpya kwa gharama nafuu sana, kuliko kupiga hesabu ya kuyatoa na kuweka mapya!
Usiogope kuwasiliana nami kama unahitaji huduma hiyo, mfano kwa sink moja ni bure kabisa, then tutaingia mkataba kwa sink zilizopo.
Kila sink linasafishwa ndani ya dakika tano tu na kurudi kuwa jipya.
Hatuuzi dawa za kusafishia bali tunatoa huduma za kusafishia
Popote ulipo wasiliana nami kwa 0625794904
 
Hapo pakutouza dawa ndio pagumu. Kwahiyo tukiwa wa mikoa minne halafu kila mkoa minimum ya wateja 100 hii kazi kwa watu 400 ambao watakua na masinki 5, mtaifanya peke yenu
 
Hapo pakutouza dawa ndio pagumu. Kwahiyo tukiwa wa mikoa minne halafu kila mkoa minimum ya wateja 100 hii kazi kwa watu 400 ambao watakua na masinki 5, mtaifanya peke yenu
Wataalam wa kufanya hiyo shughuli tunawapa skills baada ya kuingia makubaliano na mteja then na wao wataongeza manpower kwa ajili ya kufanya huduma kwa mteja, ukimuuzia mteja dawa bila vifaa vya kitaalamu hataridhika na huduma, kwa hiyo mashine moja inaweza kufanya kazi kwa wateja zaidi ya mia mbili kwa saa kumi na mbili, na pia mashine ni portable, haina gharama kusafirisha. Ndiyo maana hatuuzi dawa bali tunaridisha sink katika hali yake alafu kulitunza atalitunza mwenyewe
 
Back
Top Bottom