Huawei P8Lite Inauzwa kwa Bei Poa

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,824
Habari?

Simu ipo sokoni inauzwa kwa Tshs. 270,000/=.

Simu haina scratches zozote na ipo complete ikiwa na vifaa vyake vyote kama vile ear phone na charger.

Simu ipo Dar na kwa anayehitaji naomba tuwasiliane kwa PM.

Karibuni sana.
 
Picha ndugu
 
Back
Top Bottom