Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

MacBook pro (15-nch, Mid 2010) Processor 2.53 GHz Intel Core i5 Memory 6 GB 1067 MHz DDR3 Graphics NVIDIA GeForce GT 330M 256 MB Bei ni 950,000/=
0 Reactions
17 Replies
3K Views
IPO vizuri, Ina kijicrack kidogo sana ambacho hakipo kwenye screen ila kipo chini kabisa. Napatikana kinondoni manyanya Nauza sababu ya shida binafsi 0675206637
0 Reactions
4 Replies
921 Views
TUNATOA HUDUMA YA KUPIMA UDONGO ILI KUKUJULISHA VIRUTUBISHO VILIVYOMO NA AINA YA UDONGO HUO PAMOJA NA KUKUSHAURI MAZAO GANI YANAFAA KWA ENEO HILO LA SHAMBA LAKO NINI UNATANAKIWA KUKIFANYA ILI...
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Habari zenu Mimi ni mkulima wa uyoga aina ya oyster nipo arusha mjini na nimeanza kuvuna, kwa atakaehitaji or anaejua soko la uyoga naomba anijuze private message
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, baada ya kusota kwa muda mrefu bila ajira ya maana hatimaye nimefanikiwa kupata mtaji ambao nimefikiria kufungua banda la chipsi Sehem...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF Kwa yeyote anayeuza mashine ya kusaga na kukoboa nafaka naomba awasiliane na mimi. Conditions ni kama zifuatazo:- (1) Iwe iliyotumika (Iwe inafanya kazi au haifanyi kazi). (2)...
0 Reactions
1 Replies
688 Views
Oil and gas companies in Tanzania buys almost everything, They buy food stuff, to feed their employees in the job site.They buy fuel, such as diesel and lubricants. They buy industrial products...
0 Reactions
2 Replies
960 Views
Kiwanja kinauzwa kiko Mbezi Makabe,kiko barabarani ila siyo barabara kuu.ukubwa wake ni urefu hatua 62,upana hatua 32,kina karatasi za mauziano,bei ni maelewano bei ya kuanzia mil 15 call 0714...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
A single story bungalow, has got four bedrooms, living area, dining, well fenced and has two access roads, in a quiet secluded area of Boko. Price 150mil Tshs. For more properties visi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Bado tunaendelea kuwahudumia, kwa wanaohitaji viwanja na mashamba Dodoma tuwasiliane 0719 550577 0752 311476
0 Reactions
0 Replies
674 Views
>Tv nchi 24 ya chogo for sale >Bei 100,000 >Nina flat ndio mana naiuza. >Nipo Kimara,Dar es salaam. >Nimejalibu weka picha imeshindikana. >Haina tatizo lolote >0714134399
0 Reactions
2 Replies
790 Views
Wadau Kwanza natanguliza shukrani nina shida na mashine au kiwanda kidogo cha chaki ni wapi naeza kupata wadau na bei yake ikoje?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habar natafuta Mwalimu anayeweza kufundisha koz za Computer awe anaishi morogoro mjini Tuwasiliane kwa namba 0755783162 aue0718252251 ili tufanye kaz
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau kama kuna mwenye scraper la phantom Z ambalo limekufa mashine lakini display yake bado nzima haina michubuko aniPM.
0 Reactions
1 Replies
807 Views
Habar zenu wanajamii mimi ni bint nilimaliza chuo mwaka juzi so ajira ilikuwa ngumu kupata maisha nimagumu saana ukizingatia nimesoma kwa tabu mno niliangaika biashara ndogondogo mpaka mtaji...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Habari wadau nanunua mayai ya kuku wa kienyeji(pure) mwenye nayo tuwasiliane! Nipo Dar es SALAAM
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habarini. Naomba kujua betri gani ya gari dry cell ni bora zaidi maana naona zipo nyingi kama atlas,top power na led exide. Msaada wakuu kabla sijaingizwa mjini.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Bei:350k 16 GB
0 Reactions
2 Replies
601 Views
Kichwa cha habari hapo juu cha husika. Mzigo uko mbagala. Bei 250k Rangi nyeupe. Bado ipo kwenye hali nzuri, ina glass protector. Cont: 0687 089980/watsap kwa picha, specs na biashara. Nawasilisha.
0 Reactions
2 Replies
875 Views
Back
Top Bottom