Kwanza i hope comrades wa JF mnakuoa raha ndani kipindi hiki cha sikukuu kabla ya kurudi kwenye majukumu yetu ya ujenzi familia zetu pamoja na taifa kwa ujumla! :-)
Kwa wale wenye gari hii...
Naitwa Barnabas Jacob Nyerembe. Natafuta mtu tunae weza kushirikiana katika shughuli za kilimo cha mazao mbali mbali.
Nina Shamba lenye ukubwa wa Ekari 10 lipo kandokando ya ziwa Victoria pia...
Habari za mishemishe wakuu.
Nauza TV sumsung inch 32 mpya tsh. 450,000.
Warrantee 1yrs
Lisiti zipo na ina mwezi mmoja tangu inunuliwe.
Nahamia mkoani baada ya kupangiwa kituo Kipya cha kazi ndo...
Wadau,
Nyumba inauzwa Kibaha Visiga ina hati imefunga mpaka lenta, kiwanja kikubwa unaweza jenga nyumba nyingine kubwa na uwanja ukabaki eneo ni 588sm bei ni shilingi 20 milion, bara bara mpaka...
Nauza net za kisasa, zenye muonekano amazing, pana na ndefu, high quality, unaweza kufunga kwa stayle tofauti tofauti, ziko aina tofauti tofauti, zimebaki chache, bei ni Tshs. 55,000 tu. Karibuni...
Moja kati ya vitu ambavyo vinzaweza vikakushanganza utakapotembelea mji wa Dar es salaam ni hii ya kutoa pesa iliununue pesa, Mfanyabiashara Eli amesema Dar es salaam apatupwi hata pesa mbovu...
Je uko china ama tanzania na unataka kusafirisha mizigo yako kibiashara javis tupo kwa ajili yako tuna safirisha mizigo ya wateja wetu toka china na tuna fanya manunuzi ya bidhaa pia fika ofisin...
Kwa anayehitaji huduma ya kupimiwa kiwanja, kununua kiwanja kilichopimwa ( Fukayosi bagamoyo na Kerege Bagamoyo plus Kimbiji Kigamboni), huduma ya kufanyiwa renovation au kujenga nyumba,frem nk...
Kama kichwa kinavojieleza nipo ubungo morden nnaihitaji simu aina yoyote iwe na hali nzuri coz kwa simu huaga sidanganywi so jishaurishe kwanza. Inahitajika kwa uharaka; nnnaofa pesa taslim...
Hope mpo ok wadau:Mdogo wangu anatarajia kuja kuripoti kazini hivi punde Jijini Dodoma,Naomba uzoefu wa Gharama za Chumba/vyumba na maeneo poa kwa kuanzia Maisha.
Wadau nimetingwa sana . Nataka niuze simu (ni yangu mwenyewe) sumsung galaxy grand prime+ ni mpya bado ina miezi miwili tangu itoke dukani. Shida yangu nipate 250,000 tu.
Samahanini , ni Samsung...
Inapatikana kilomita 5 kusini mwa makao makuu ya wilaya ya babati.Ni nyumba yenye vyumba 6 na nyumba ya kisasa. Izungukwa na eneo la hekari moja lenye bustani nzuri ya miti. Kwa maelezo zaidi piga...
Ramani yangu ni m14 urefu na 13 upana. Nataka nijenge gorofa moja. Chini na juu kunafanana. Mpaka nikiezeka nitatumia sh ngapi? Fundi kasema isipungue 60mil. Je ni kweli? Kwa mwenye uzoefu tafadhali
SNL SOLAR inakupatia Solar ya kukuwashia taa tano hadi nane pamoja na kuchaji cm pia unaweza kutumia Radio ndogo.
Tuna Solar ndogo na Kubwa kwa gharama nafuu zaidi na Technolojia yetu ni ya...
Habari za uzima wadau, Mimi ni kijana mhangaikaji tu, shughuli za hapa na pale sina kaz rasmi, nahitaji niingie katka sekta ya uuzaji na usambazaji wa mayai ya kienyeji ila kinachoniaumbua ni...
Kiwanja chenye ukubwa wa hatua 25 marefu,na hatua 20 mapana kinauzwa kwa Tsh.500,000/= (laki tano) tu.
kipo mkoa wa morogoro wilaya ya kilosa kata ya magole mji mdogo wa dumira barabara...