stymo
Senior Member
- Nov 2, 2010
- 118
- 15
Kwanza i hope comrades wa JF mnakuoa raha ndani kipindi hiki cha sikukuu kabla ya kurudi kwenye majukumu yetu ya ujenzi familia zetu pamoja na taifa kwa ujumla! 🙂
Kwa wale wenye gari hii, Toyota Starlet (SOLEIL 4DOORS), au wanamjua aneyrweza niuzia itakuwa msaada sana kwangu. Nimefanya research bei yake pamoja na kuileta toka kwa wajapan kule, lakini, kwa mimi kijana ambaye nataka kununua gari langu la kwanza na ndo jwanza naanza kujitegemea imekuwa challenge kidogo gharama zake kuzimudu. Hivyo naitaji used n cheap kutoka hapa hapa nyumbani.
Mwenye deal cheap na starlet iliyo katika hali nzuri let me know, kwa comment hapa au kwa DM. Au taja ofa na contacts nami nitakutafuta!