Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Moja kati ya vitu ambavyo vinzaweza vikakushanganza utakapotembelea mji wa Dar es salaam ni hii ya kutoa pesa iliununue pesa, Mfanyabiashara Eli amesema Dar es salaam apatupwi hata pesa mbovu nimekuwekea hii video hapa chini.
VIDEO: Dar es salaam hata pesa mbovu haitupwi, inauzwa - millardayo.com
VIDEO: Dar es salaam hata pesa mbovu haitupwi, inauzwa - millardayo.com