Habarini wana jamvi,
Chumba cha biashara kinapangishwa Dodoma. Kipo maeneo ya airport mkabala na Chako ni Chako, mlango wake unatazama uwanja wa ndege.
Pia kuna kibanda (removable)...
Niko na kampuni mpya kabisa nchini inayotarajiwa kufanya kazi ambayo haijawai kufanyika nchini katika sector ya advertising....
naitaji mshirika wa biashara nimpe share ya 50% maana naona kazi...
Habari wakuu.
Nina kiwanja changu nauza kilichopo eneo la Tungoma kwa sako karibu na barabara.Eneo hili llote kuna nyumba.Pia kuna huduma za maji na umeme.Ukubwa wa kiwanja ni miguu17 kwa 17(robo...
Kama unahitaji Shamba la Miti ya mikaratusi yenye umri wa miaka mitano linauzwa Mafinga,.Zipo ekari thelathini Na kila moja inauzwa Kwa shilingi milioni mbili Na laki tano(2,500,000/_). Shamba...
CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes zinatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia week ijayo, kwa wale wote ambao wako interested wasiliana na simu hii: +255 713451713 kwa...
Shop for the best Devices like Chargers, USB Cables, Power Banks, Bluetooth Headsets, Bluetooth Speakers and so much more.
Contacts:
Cell phone/whatsapp: 0713086602
Email...
habari wakuu
kama kichwa kinavyojieleza nahitaji mabati used kwa ajili ya kijengea banda
najua kuna walikumbwa na kasumba ya kubomolewa nyumba au vibanda kufakufaana
nipo dar
namba za simu...
Kampuni ya CRM Financial Services iliopo Mbez bich Tank bovu sasa wanakuwezesha kupata huduma za chakula Kama nyama Na kuku popote ulipo jilani na mji bure kabisa endapo utaagiza zaid ya kilo...
Samahani wanajamvi,
Kwa mwenye laptop used ya bei nafuu iwe kwenye condition nzuri tuwasiliane tufanye biashara 0621036695.
Nahitaji aina yoyote BT Kama itapatkana macbook itakuwa poa zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.