Nyumba inauzwa Kibaha ina hati

bygrace

Member
Apr 18, 2017
5
3
Wadau,

Nyumba inauzwa Kibaha Visiga ina hati imefunga mpaka lenta, kiwanja kikubwa unaweza jenga nyumba nyingine kubwa na uwanja ukabaki eneo ni 588sm bei ni shilingi 20 milion, bara bara mpaka kiwanjani, umeme na maji vimefika, haina udalali.
 

Attachments

  • IMG-20170130-WA0027.jpeg
    IMG-20170130-WA0027.jpeg
    204.8 KB · Views: 47
Wadau nyumba inauzwa kibaha visiga..ina hati...imefunga mpaka linta..kiwanja kikubwa unaweza jenga nyumba nyingine kubwa na uwanja ukabaki..eneo ni 588sm....bei ni shilingi 20 milion...bara bara mpaka kiwanjani..umeme na maji vimefika..haina udalali
Huko Pwani! Mhh!
 
Huo uwanja ni kama 4M na garama za Ujenzi mpaka apo kwenye lenta haizidi 4m.

Akifika bei ya 8 M kushuka chini wanunuzi watakuja
 
Ndugu hiyo ni nyumba au kiwanja?
Sema kiwanja kinauzwa!
Uwanja ni mkubwa..plan ilikuwa kujenga nyumba tatu za design moja kwenye hilo eneo...hiyo ni ya kwanza.. si nyumba ndogo ina vyumba viwili..kimoja master..sebule...jiko...choo na bafu na store...nadhani umeelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom