Habari za mishemishe wakuu.
Nauza TV sumsung inch 32 mpya tsh. 450,000.
Warrantee 1yrs
Lisiti zipo na ina mwezi mmoja tangu inunuliwe.
Nahamia mkoani baada ya kupangiwa kituo Kipya cha kazi ndo mana naiuza.
Karibu PM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.