Natafuta simu smart bajeti Tsh100,000

yahoocom

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
331
379
Kama kichwa kinavojieleza nipo ubungo morden nnaihitaji simu aina yoyote iwe na hali nzuri coz kwa simu huaga sidanganywi so jishaurishe kwanza. Inahitajika kwa uharaka; nnnaofa pesa taslim Tsh100,000. KARIBUNI

Updates;
Nnashukuru kwa ushirikiano nnaoupata, lkn kesho asubuhi 20/04/17 inatakiwa kusafirishwa kwenda mkoani na muagizwaji tayar anatiket.
 
nakushauri simu utayopata hakikisha iwe ya 4G mkuu. ili uende sawa na technology hata kwa bei pungufu.
 
nakushauri simu utayopata hakikisha iwe ya 4G mkuu. ili uende sawa na technology hata kwa bei pungufu.
Ni kweli kabsa mkuu lakini ungehit point ingekua poa sana kwani tangazo lipo open... yaan wap niipate iyo 4G kwa bajet hiyo
 
Back
Top Bottom