Tangazo la ubia wa shughuli za kilimo

BARNABAS Jacob

New Member
Apr 16, 2017
1
0
Naitwa Barnabas Jacob Nyerembe. Natafuta mtu tunae weza kushirikiana katika shughuli za kilimo cha mazao mbali mbali.
Nina Shamba lenye ukubwa wa Ekari 10 lipo kandokando ya ziwa Victoria pia liko kandokando mwa barabara kuu ya Mwanza - Bukoba katika wilaya ya Chato, Mkoa wa Geita, Kijiji cha Katete, Kata ya Bwongera . Shambala Lina rutuba ya kutosha.
Shughuli zinazo kubarika kufanyika ni 1-Ufugaji wa samaki
2-Kirimo cha mazao
(Mpunga, Mahindi, Matunda, mbogamboga, N.K.)
Kwa mawasiliano zaidi piga namba zifuatazo - 0752827070
- 0657030546
 
Back
Top Bottom