david wise
Member
- Apr 17, 2017
- 5
- 2
Habari za uzima wadau, Mimi ni kijana mhangaikaji tu, shughuli za hapa na pale sina kaz rasmi, nahitaji niingie katka sekta ya uuzaji na usambazaji wa mayai ya kienyeji ila kinachoniaumbua ni masoko tu,kama mnavyojua mwanzo mgumu ..tusaidiane mawazo jinsi gan ntafanya kujikwamua kiuchumi zaidi.