Weka picha na bei mkuu..Inapatikana kilomita 5 kusini mwa makao makuu ya wilaya ya babati.Ni nyumba yenye vyumba 6 na nyumba ya kisasa. Izungukwa na eneo la hekari moja lenye bustani nzuri ya miti. Kwa maelezo zaidi piga au nisms kwa no 0625677622
Milioni 145. Fixed ndo bei yake kaniambia Kwa pm
Hahaha! Nilikuwa nimeshakaandaa ka Mil5 kangu, kumbe ningechekesha. Mwambie biashara njema.Milioni 145. Fixed ndo bei yake kaniambia Kwa pm